Samatta alihaidiwa kuchinjiwa jogoo na baba yake
Huwezi kusikiliza tena

Baba Samatta: Uingereza ndio kila kitu kwenye kandanda

Baba wa nahodha wa Tanzania Mbwana Samata anajivunia mafanikio ya mtoto wake katika ulimwengu wa kandanda.

Mzee Ally Pazi Samatta ameielza BBC kuwa imekuwa ni ndoto yao yeye na Mbwana siku moja kuona mshambuliaji huyo akitua Uingereza na kusakata kambumbu.

92彩票网平台Ndoto hiyo inakaribia kukamilika wakati huu ambapo Aston Villa inatumai kukamilisha makubaliano ya dau la £10m kumsajili mshambuliaji huyo wa klabu ya Genk ya Ubelgiji.

Mada zinazohusiana