Je wavuvi wa China wana uwezo gani wa kuweza kukamata vifaa vya upelelezi vya maadui wa taifa hilo?

Picha ilionaswa kutoka kwa runinga ikionyesha ndege zisizo na rubani zilizonaswa baharini
Image caption Picha ilionaswa kutoka kwa runinga ikionyesha ndege zisizo na rubani zilizonaswa baharini

92彩票网平台Mara ya kwanza ilionekana kama habari ghushi kutokana na kichwa chake cha habari kwamba China iliwazawadi wavuvi waliovua vifaa vya kigeni vya upelelezi.

92彩票网平台Lakini nyuma ya kichwa hicho cha habari katika vyombo vya habari vya China kulikuwa na habari tofauti na ya kuvutia zaidi.

92彩票网平台Kwanza hawakuwa wavuvi wawili ama watatu waliokuwa wakipokea zawadi hizo . Walikuwa wanawake 11 , waliosalia wakiwa wanaume waliopata vifaa saba kwa jumla.

Pili hii haikuwa mara ya kwanza kwa wavuvi wa Jiangsu kunasa ndege za rubani zinazotumiwa kwa upelelezi . Mwaka 2018, wavuvi 18 walizawadiwa kwa kupata vifaa tisa. Pia kulikuwa na sherehe mwaka mmoja kabla.

Na tatu , zawadi hizo zilikuwa kubwa na kufikia Yuan 500,000 sawa na $72,000 ikiwa ni mara kumi na saba ya mapato ya familia kwa siku nchini China.

92彩票网平台Hivyobasi tunauliza je ndege hizi za rubani zinatoka wapi? Zinafanya nini? Je ni kwa nini zina thamani? Na kwa nini wavuvi wa China wamekuwa wakizinasa kwa wingi

Haki miliki ya picha Weibo
Image caption Wavuvi 11 waliozawadiwa mkoani Jiangsu

Jiangsu ni mkoa ulio mashariki mwa China ukiwa na pwani yenye urefu wa kilomita 1000. Upo mkabala na Japan pamoja na Korea Kusini huku Taiwan ikiwa takriban maili 500 kusini.

92彩票网平台Hali hio ya kijiografia na uwepo mkubwa wa Marekani katika eneo hilo unaelezea kwa nini wavuvi wanaendelea kunasa vifaa hivyo .

92彩票网平台China haijafichua ni wapi vifaa hivyo vilitoka , ikisema tu kwamba vilitengezwa kutoka mataifa mengine.

Lakini mtaalam wa kieneo Alexander Neil anasema kwamba vilitoka kutoka kwa wanamaji wa Marekani , jeshi la Japan na hata Taiwan - hili ni eneo lililo na uhasama mkubwa.

Tunauliza je Wamarekani, Wajapan na Taiwan wanataka kujifunza nini? .

92彩票网平台Mwaka 2009 , Jeshi la wanamaji wa Marekani lilifadhili utafiti katika ndege zisizo na rubani za chini ya maji maarufu UUVs . Utafiti huo ulipendekeza mbinu saba ambapo UUVs zinaweza kutumika ikiwemo:

  • Kuzifuatilia manuwari za adui.
  • Kutafuta na kukabiliana na mabomu ya majini hususan katika maji ya nchi nyengine
  • Kutumika kama kifaa cha kuweka usalama.
  • Kuchunguza miundo msingi iliopo ndani ya maji kama vile nyaya za mawasiliano

92彩票网平台Utafiti huo pia uliangazia uwezo wa UUVs. Gliders - UUVs ndogo ambazo huenda ndizo zilizopatikana na wavuvi hao wa Jiangsu - zinaweza kupelekwa katika eneo moja kwa muda mrefu na sio ghali.

Rahisi inamaanisha makumi ya maelfu ya madola.

Gharama yao inamaanisha kwamba utumizi wa manuwari kufanya upelelezi unaendelea kuwa muhimu - na Bwana Neil anakadiria kwamba , gharama, umbali na uwezo wake ni mkubwa hivyobasi idadi yake imeongezeka na kufika mamia.

92彩票网平台Hatua hiyo inaelezea ni kwa nini zinapatikana katika neti za wavuvi wa China. Taifa hilo lina msafara mkubwa wa meli za wavuvi hivyobasi sheria ya kadri inasema kwamba ni rahisi kwa wavuvi hao kunasa manuwari hizo.

92彩票网平台Lakini pia ni kweli kwamba msafara wa China upo tofauti na mataifa mengine . Baadhi ya wavuvi ni maafisa wa jeshi na hivyobasi ni wazi kwa nini wanafanikiwa kunasa vifaa vya kijeshi.

Jeshi la China ni miongoni mwa jeshi la Kitaifa - ambalo linajumuisha raia

Kulingana na ripoti ya 2017- idara ya ulinzi nchini Marekani imechukua jukumu muhimu katika baadhi ya kampeni za kijeshi na visa vya uchokozi katika miaka kadhaa.

Katika siku za nyuma, CMM ilikodisha vifaa kutoka kwa makampuni au wavuvi. Lakini sasa idara hiyo ya ulinzi inasema kwamba inaonekana kana kwamba China inaunda msafara wa kijeshi wa wavuvi unaosimamiwa na serikali.

Bwana Neil anasema kwamba boti nyingi hujifanya kuwa za wavuvi ilhali zinafanya uchunguzi wa majini dhidi ya maadui wa China. Ukitazama utadhani ni boti za wavuvi , anasema.

Lakini ukweli ni kwamba ni vyombo vya kijeshi ambavyo vimejengwa na vyuma vikiwa na uzani mkubwa.

92彩票网平台Unapotazama picha ni kweli kwamba vina mtandao kutokana na uwezo wake wa kutoa ishara na usimamizi wa wanamaji .

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Ndege isio na rubani ya HSU001

China sio tu kwamba huzinasa manuwari hizo - pia inaziendesha.

92彩票网平台Katika gwaride la kijeshi la kuadhimisha miaka 70 ya Jamhuri ya raia wa China, manuwari kwa jina HSU001 ilizinduliwa - ikiwa na ndege kubwa isio na rubani yenye uwezo wa kurusha ndege ndogo zisizo na rubani.

Na miezi mitano mapema , ndege nyengine isio na rubani ilizinduliwa katika hali isio rasmi wakati wavuvi wa Indonesia waliponasa kombora lililokuwa na alama za Kichina katika kisiwa cha Riau.

92彩票网平台Sio kombora , bali ndege isio na rubani ya baharini ambayo hutumika kufanyia utafiti chini ya maji, ilisema polisi.

92彩票网平台 Ijapokuwa haijulikani ilikotoka , wataalam wanashuku ilikuwa miongoni mwa uchunguzi wa China.

Haki miliki ya picha Polres Bintan
Image caption Ndege iso na rubani iliopatikana Indonesia ilikuwa na urefu wa mita mbili

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii