Alazimishwa kupima Ujaizito
Huwezi kusikiliza tena

Alazimishwa kupima ujauzito na shirika la ndege

Shirika la ndege la Hong Kong Express limeomba radhi baada ya kumlazimisha abiria mmoja kupimwa iwapo ana mimba. Midori Nishida, alikuwa ansafiri kutoka Hong Kong hadi kisiwa cha Saipan. Wanawake wengi wanasemekana kuwa na mazoea ya kwenda kuzalia huko kama mbinu ya kupata uraia wa Marekani. Je shirika hilo lilifanya makosa? Tupe maoni yako kwenye ukurasa wa 92彩票网平台, BBCswahili